Na pale Mwenyezi Mungu alipo chukua ahadi kwa Manabii: Nikisha kupeni Kitabu na hikima, kisha akakujieni Mtume mwenye kusadikisha mliyo nayo, ni juu yenu mumuamini na mumsaidie. Akasema: Je, mmekiri na mmekubali kushika agizo langu juu ya hayo? Wakasema: Tumekubali. Akasema: Basi shuhudieni, na Mimi ni pamoja nanyi katika kushuhudia. 1
Maelezo
These readings are complementary in meaning, and the verse can be interpreted in a number of ways. The translation of the first two readings involves a rearrangement of the phrases to convey the overall meaning [Ibn ‘Ashur].