An-Naas 114:1 قل اعوذ برب الناس ١
قُلۡ
أَعُوذُ
بِرَبِّ
ٱلنَّاسِ
١
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sema, ewe Mtume, «Ninajilinda na kutaka hifadhi kwa Bwana wa watu, Mwenye uweza, Peke Yake, wa kulirudisha shari lao.