An-Naas 114:4 من شر الوسواس الخناس ٤
مِن
شَرِّ
ٱلۡوَسۡوَاسِ
ٱلۡخَنَّاسِ
٤
Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Kutokana na udhia wa shetani ambaye hutia watu wasiwasi wanapoghafilika na hujificha atajwapo Mwenyezi Mungu.