An-Nabaa 78:11 وجعلنا النهار معاشا ١١
وَجَعَلۡنَا
ٱلنَّهَارَ
مَعَاشٗا
١١
Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Tukaufanya mchana ni kipindi cha kutafuta maisha, mnaenea humo kwa ajili ya maisha yenu na mnatembea humo kwa ajili ya maslahi yenu?