An-Nabaa 78:3 الذي هم فيه مختلفون ٣
ٱلَّذِي
هُمۡ
فِيهِ
مُخۡتَلِفُونَ
٣
Ambayo kwayo wanakhitalifiana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
nayo ni Qur’ani tukufu inayotoa habari za kufufuliwa ambako makafiri wa Kikureshi wana shaka nako na wanakukanusha.