An-Nabaa 78:31 ان للمتقين مفازا ٣١
إِنَّ
لِلۡمُتَّقِينَ
مَفَازًا
٣١
Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika kwa wale ambao wanamuogopa Mola wao na huku wanatenda mema kuna kufaulu kwa kuingia Peponi.