An-Nabaa 78:35 لا يسمعون فيها لغوا ولا كذابا ٣٥
لَّا
يَسۡمَعُونَ
فِيهَا
لَغۡوٗا
وَلَا
كِذَّٰبٗا
٣٥
Hawatasikia humo upuuzi wala uwongo, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hawatasikia katika Pepo hiyo maneno ya upotofu wala kudanganyana.