An-Nahl 16:17 افمن يخلق كمن لا يخلق افلا تذكرون ١٧
أَفَمَن
يَخۡلُقُ
كَمَن
لَّا
يَخۡلُقُۚ
أَفَلَا
تَذَكَّرُونَ
١٧
Ati anaye umba ni kama asiye umba? Basi hebu, hamkumbuki? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi mnamfanya Mwenyezi Mungu Ambaye Anaviumba vitu hivyi na vinginevyo, katika kustahiki Kwake kuabudiwa Peke Yake, ni kama waungu wanaodaiwa ambao hawaumbi chochote? Basi hamukumbuki utukufu wa Mwenyezi Mungu mkamuabudu Yeye Peke Yake?
Basi mnamfanya Mwenyezi Mungu Ambaye Anaviumba vitu hivyi na vinginevyo, katika kustahiki Kwake kuabudiwa Peke Yake, ni kama waungu wanaodaiwa ambao h…