An-Nahl 16:19 والله يعلم ما تسرون وما تعلنون ١٩
وَٱللَّهُ
يَعۡلَمُ
مَا
تُسِرُّونَ
وَمَا
تُعۡلِنُونَ
١٩
Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Mwenyezi Mungu, Aliyetakata na kila aina ya upungufu, Anayajua matendo yenu yote, sawasawa yale mnayoyaficha ndani ya nafsi zenu kati ya hayo na yale mnayoyafanya waziwazi mbele ya wengine, na Atawalipa kwayo.
Na Mwenyezi Mungu, Aliyetakata na kila aina ya upungufu, Anayajua matendo yenu yote, sawasawa yale mnayoyaficha ndani ya nafsi zenu kati ya hayo na ya…