An-Nahl 16:46 او ياخذهم في تقلبهم فما هم بمعجزين ٤٦
أَوۡ
يَأۡخُذَهُمۡ
فِي
تَقَلُّبِهِمۡ
فَمَا
هُم
بِمُعۡجِزِينَ
٤٦
Au hatawashika katika nyendo zao, na wala hawataponyoka? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
au adhabu haitawapata hali wakiwa wanazunguka kwenye safari zao na shughuli zao? Wao si wenye kumtangulia Mwenyezi Mungu wala kumponyoka wala kuokoka na adhabu Yake, kwani Yeye Ndiye Mwenye nguvu Ambaye hakuna chenye kumuelemea.
au adhabu haitawapata hali wakiwa wanazunguka kwenye safari zao na shughuli zao? Wao si wenye kumtangulia Mwenyezi Mungu wala kumponyoka wala kuokoka …