An-Nahl 16:50 يخافون ربهم من فوقهم ويفعلون ما يومرون ۩ ٥٠
يَخَافُونَ
رَبَّهُم
مِّن
فَوۡقِهِمۡ
وَيَفۡعَلُونَ
مَا
يُؤۡمَرُونَ۩
٥٠
Vinamkhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyoamrishwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao Malaika wanamuogopa Mola wao Ambaye Yuko juu yao kwa dhati Yake, utendeshaji nguvu Wake na ukamilifu wa sifa Zake, na wanafanya wanayoamrishwa ya kumtii Mwenyezi Mungu. Katika aya hii pana kuthibitisha sifa ya kuwa Mwenyezi Mungu Yuko juu ya viumbe vyake vyote, kama inavyonasibiana na utukufu Wa…
Hao Malaika wanamuogopa Mola wao Ambaye Yuko juu yao kwa dhati Yake, utendeshaji nguvu Wake na ukamilifu wa sifa Zake, na wanafanya wanayoamrishwa ya …