An-Nahl 16:59 يتوارى من القوم من سوء ما بشر به ايمسكه على هون ام يدسه في التراب الا ساء ما يحكمون ٥٩
يَتَوَٰرَىٰ
مِنَ
ٱلۡقَوۡمِ
مِن
سُوٓءِ
مَا
بُشِّرَ
بِهِۦٓۚ
أَيُمۡسِكُهُۥ
عَلَىٰ
هُونٍ
أَمۡ
يَدُسُّهُۥ
فِي
ٱلتُّرَابِۗ
أَلَا
سَآءَ
مَا
يَحۡكُمُونَ
٥٩
Anajificha asionekane na watu kwa ubaya wa aliyo bashiriwa! Je,akae naye juu ya fedheha hiyo au amfukie udongoni? Tazama uovu wa wanavyohukumu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Anajificha kwa kuchukia asionekane na watu wake, akiona aibu na kuingiwa na huzuni kwa habari iliyomchukiza ya kuzaliwa mtoto wa kike, huku akiwa ametunduwaa juu ya tukio la mtoto huyo aliyezaliwa: je, amuache kuishi kwenye hali ya unyonge na utwevu au amzike mchangani akiwa hai? Jueni mtanabahi kwa…
Anajificha kwa kuchukia asionekane na watu wake, akiona aibu na kuingiwa na huzuni kwa habari iliyomchukiza ya kuzaliwa mtoto wa kike, huku akiwa amet…