Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Nahl 16:6

16:6
ولكم فيها جمال حين تريحون وحين تسرحون ٦
وَلَكُمْ فِيهَا جَمَالٌ حِينَ تُرِيحُونَ وَحِينَ تَسْرَحُونَ ٦
وَلَكُمۡ
فِيهَا
جَمَالٌ
حِينَ
تُرِيحُونَ
وَحِينَ
تَسۡرَحُونَ
٦
Na wanakupeni furaha pale mnapo warudisha jioni na mnapo wapeleka malishoni asubuhi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na muna, kwa wanyama hao, pambo linaloingiza furaha kwenu, pindi mnapowarudisha kwenye mazizi yao jioni na pindi mnapowatoa kukicha kuwapeleka malishoni.