An-Nahl 16:74 فلا تضربوا لله الامثال ان الله يعلم وانتم لا تعلمون ٧٤
فَلَا
تَضۡرِبُواْ
لِلَّهِ
ٱلۡأَمۡثَالَۚ
إِنَّ
ٱللَّهَ
يَعۡلَمُ
وَأَنتُمۡ
لَا
تَعۡلَمُونَ
٧٤
Basi msimpigie Mwenyezi Mungu mifano. Hakika Mwenyezi Mungu anajua,na nyinyi hamjui. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mjuapo kwamba masanamu na mizimu havinufaishi, basi msimfanye Mwenyezi Mungu Ana ambao ni kama Yeye wenye kufanana na Yeye miongoni mwa viumbe Wake mkawa mnawashirikisha wao pamoja na Yeye katika ibada. Hakika Mwenyezi Mungu Anayajua mnayoyafanya, na nyinyi mumeghafilika hamjui makosa yenu na uba…
Na mjuapo kwamba masanamu na mizimu havinufaishi, basi msimfanye Mwenyezi Mungu Ana ambao ni kama Yeye wenye kufanana na Yeye miongoni mwa viumbe Wake…