An-Nahl 16:85 واذا راى الذين ظلموا العذاب فلا يخفف عنهم ولا هم ينظرون ٨٥
وَإِذَا
رَءَا
ٱلَّذِينَ
ظَلَمُواْ
ٱلۡعَذَابَ
فَلَا
يُخَفَّفُ
عَنۡهُمۡ
وَلَا
هُمۡ
يُنظَرُونَ
٨٥
Na walio dhulumu watakapo iona adhabu hawatapunguziwa hiyo adhabu,wala hawatapewa muhula. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale waliokanusha watakapoishuhudia adhabu ya Mwenyezi huko Akhera, basi hawatapunguziwa chochote katika hiyo adhabu, hawatapewa muhula wala hawatacheleweshwa.
Na wale waliokanusha watakapoishuhudia adhabu ya Mwenyezi huko Akhera, basi hawatapunguziwa chochote katika hiyo adhabu, hawatapewa muhula wala hawata…