An-Nahl 16:98 فاذا قرات القران فاستعذ بالله من الشيطان الرجيم ٩٨
فَإِذَا
قَرَأۡتَ
ٱلۡقُرۡءَانَ
فَٱسۡتَعِذۡ
بِٱللَّهِ
مِنَ
ٱلشَّيۡطَٰنِ
ٱلرَّجِيمِ
٩٨
Na ukisoma Qur'ani mwombe Mwenyezi Mungu akulinde na Shetani maluuni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na pindi ukitaka, ewe Muumini, kusoma chochote katika Qur’ani, basi jilinde kwa Mwenyezi Mungu na Shari la Shetani aliyefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu kwa kusema, «A'ūdhu bi- Llāhi min ash-Shayttān ar-Rajīm»(Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na Shetani Aliyefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mung…
Na pindi ukitaka, ewe Muumini, kusoma chochote katika Qur’ani, basi jilinde kwa Mwenyezi Mungu na Shari la Shetani aliyefukuzwa kwenye rehema ya Mweny…