An-Najm 53:1 والنجم اذا هوى ١
وَٱلنَّجۡمِ
إِذَا
هَوَىٰ
١
Naapa kwa nyota inapo tua! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Anaapa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka kwa nyota zinapozama zikawa hazionekani
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis