An-Najm 53:10 فاوحى الى عبده ما اوحى ١٠
فَأَوۡحَىٰٓ
إِلَىٰ
عَبۡدِهِۦ
مَآ
أَوۡحَىٰ
١٠
Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, alimpelekea wahyi mja Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kile alichokituma kwa wahyi kupitia Jibrili, amani imshukie.
Hapo Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, alimpelekea wahyi mja Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kile alichokituma kw…