An-Najm 53:12 افتمارونه على ما يرى ١٢
أَفَتُمَٰرُونَهُۥ
عَلَىٰ
مَا
يَرَىٰ
١٢
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je mnamkanusha Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amni zimshukie, mkajadiliana naye juu ya kile alichokiona na kukishuhudia miongoni mwa alama za Mola wake?
Je mnamkanusha Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amni zimshukie, mkajadiliana naye juu ya kile alichokiona na kukishuhudia miongoni mwa alama za M…