An-Najm 53:15 عندها جنة الماوى ١٥
عِندَهَا
جَنَّةُ
ٱلۡمَأۡوَىٰٓ
١٥
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mbele ya mti huo kuna Pepo ya al- Ma’wā (Makazi ya Daima) ambayo waliahidiwa wachamungu.