Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
053

An-Najm 53:18 لقد راى من ايات ربه الكبرى ١٨

53:18
لَقَدۡ
رَأَىٰ
مِنۡ
ءَايَٰتِ
رَبِّهِ
ٱلۡكُبۡرَىٰٓ
١٨
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Hakika Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, aliona, usiku wa Mi'rāj (kwenda mbinguni) alama kubwa zinazojulisha uweza wa Mwenyezi Mungu na ukubwa Wake miongoni mwa Pepo, Moto na vinginevyo.
Hakika Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, aliona, usiku wa Mi'rāj (kwenda mbinguni) alama kubwa zinazojulisha uweza wa Mwenyezi Mu…
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 53, Ukurasa 526, Juzuu 27

1. Naapa kwa nyota inapo tua! 2. Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea. 3. Wala hatamki kwa matamanio. 4. Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa; . 5. Amemfundisha aliye mwingi wa nguvu! 6. Mwenye kutua, akatulia! 7. Naye yuko juu kabisa upeo wa macho. 8. Kisha akakaribia na akateremka. 9. Akawa ni kama baina ya mipinde miwili, au karibu zaidi. 10. Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia. 11. Moyo haukusema uwongo uliyo yaona. 12. Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona? 13. Na akamwona mara nyingine, 14. Penye Mkunazi wa mwisho. 15. Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa. 16. Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika. 17. Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka. 18. Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia