An-Najm 53:22 تلك اذا قسمة ضيزى ٢٢
تِلۡكَ
إِذٗا
قِسۡمَةٞ
ضِيزَىٰٓ
٢٢
Huo ni mgawanyo wa dhulma! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hiko ni kigawanyo cha kidhalimu. Hawakuwa hawa masanamu isipokuwa majina yasiyokuwa na sifa zozote za ukamilifu.