An-Najm 53:38 الا تزر وازرة وزر اخرى ٣٨
أَلَّا
تَزِرُ
وَازِرَةٞ
وِزۡرَ
أُخۡرَىٰ
٣٨
Ya kwamba hakika nafsi iliyo beba madhambi haibebi madhambi ya mwengine? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwamba haipatilizwi nafsi yoyote kwa kosa la nafsi nyingine, na mzigo wake hakuna yoyote atakayembebea.