An-Najm 53:40 وان سعيه سوف يرى ٤٠
وَأَنَّ
سَعۡيَهُۥ
سَوۡفَ
يُرَىٰ
٤٠
Na kwamba vitendo vyake vitaonekana? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwamba juhudi zake zitaonekana Akhera, yapambanuliwe mazuri yake na mabaya yake, ili kumkirimu mtenda wema na kumlaumu mfanya mabaya.