An-Najm 53:45 وانه خلق الزوجين الذكر والانثى ٤٥
وَأَنَّهُۥ
خَلَقَ
ٱلزَّوۡجَيۡنِ
ٱلذَّكَرَ
وَٱلۡأُنثَىٰ
٤٥
Na kwamba Yeye ndiye aliye umba jozi, dume na jike 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwamba Yeye Ameumba jinsi mbili: ya kiume na ya kike, kati ya wanadamu na wanyama,