An-Najm 53:52 وقوم نوح من قبل انهم كانوا هم اظلم واطغى ٥٢
وَقَوۡمَ
نُوحٖ
مِّن
قَبۡلُۖ
إِنَّهُمۡ
كَانُواْ
هُمۡ
أَظۡلَمَ
وَأَطۡغَىٰ
٥٢
Na kabla yao kaumu ya Nuhu. Na hao hakika walikuwa ni madhaalimu zaidi, na waovu zaidi; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Akawaangamiza watu wa Nūḥ hapo kabla. Hao walikuwa ni wakali zaidi wa uasi na wakubwa zaidi wa ukafiri kuliko wale waliokuja baada yao.