An-Najm 53:56 هاذا نذير من النذر الاولى ٥٦
هَٰذَا
نَذِيرٞ
مِّنَ
ٱلنُّذُرِ
ٱلۡأُولَىٰٓ
٥٦
Hili ni Onyo katika maonyo yale yale ya zamani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Huyu Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ni mwonyaji wa haki ambayo kwayo walionya Manabii kabla yake, si kitu kipya katika Mitume.