An-Najm 53:58 ليس لها من دون الله كاشفة ٥٨
لَيۡسَ
لَهَا
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
كَاشِفَةٌ
٥٨
Hapana wa kukifichua isipo kuwa Mwenyezi Mungu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hivyo basi hakuna yoyote mwenye kukizuia isipokuwa Mwenyezi Mungu, na hakuna mwenye kujua wakati wa kufika kwake isipokuwa Mwenyezi Mungu.