An-Najm 53:9 فكان قاب قوسين او ادنى ٩
فَكَانَ
قَابَ
قَوۡسَيۡنِ
أَوۡ
أَدۡنَىٰ
٩
Akawa ni kama baina ya mipinde miwili, au karibu zaidi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na akazidi kukaribia mpaka ikawa kukaribia kwake ni kiasi cha nyuta mbili au karibu zaidi.