An-Naml 27:27 ۞ قال سننظر اصدقت ام كنت من الكاذبين ٢٧
۞ قَالَ
سَنَنظُرُ
أَصَدَقۡتَ
أَمۡ
كُنتَ
مِنَ
ٱلۡكَٰذِبِينَ
٢٧
Akasema (Sulaiman): Tutatazama umesema kweli au wewe ni miongoni mwa waongo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sulaymān alisema kumwambia hud-hud, «Tutaichunguza habari uliyotuletea tujue: unasema kweli katika hiyo au umekuwa ni katika warongo ndani yake?