An-Naml 27:5 اولايك الذين لهم سوء العذاب وهم في الاخرة هم الاخسرون ٥
أُوْلَٰٓئِكَ
ٱلَّذِينَ
لَهُمۡ
سُوٓءُ
ٱلۡعَذَابِ
وَهُمۡ
فِي
ٱلۡأٓخِرَةِ
هُمُ
ٱلۡأَخۡسَرُونَ
٥
Hao ndio watapata adhabu mbaya kabisa, na hao katika Akhera ndio watapata khasara zaidi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao ndio watakaopata adhabu mbaya duniani, kwa kuuawa, kutekwa, kudhalilika na kushindwa. Na wao huko Akhera watakuwa ni wenye hasara kubwa zaidi.