An-Naml 27:54 ولوطا اذ قال لقومه اتاتون الفاحشة وانتم تبصرون ٥٤
وَلُوطًا
إِذۡ
قَالَ
لِقَوۡمِهِۦٓ
أَتَأۡتُونَ
ٱلۡفَٰحِشَةَ
وَأَنتُمۡ
تُبۡصِرُونَ
٥٤
Na Luut'i alipo waambia watu wake: Je! Mnafanya uchafu nanyi mnaona? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mkumbuke na umtaje Lūṭ, aliposema kuwaambia watu wake, «Hivi nyinyi mnaleta kitendo ambacho ni upeo wa ubaya, nanyi mnajua ubaya wake?