An-Naml 27:70 ولا تحزن عليهم ولا تكن في ضيق مما يمكرون ٧٠
وَلَا
تَحۡزَنۡ
عَلَيۡهِمۡ
وَلَا
تَكُن
فِي
ضَيۡقٖ
مِّمَّا
يَمۡكُرُونَ
٧٠
Wala usiwahuzunukie wala usiwe katika dhiki kwa sababu ya hila zao wanazo zifanya. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Usiwe na masikitiko juu ya kukupa mgongo kwao, hao washirikina, na kukukanusha, na usiwe na dhiki moyo wako juu ya vitimbi vyao wanavyokufanyia, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kukupa ushindi juu yao.
Usiwe na masikitiko juu ya kukupa mgongo kwao, hao washirikina, na kukukanusha, na usiwe na dhiki moyo wako juu ya vitimbi vyao wanavyokufanyia, kwani…