An-Naml 27:75 وما من غايبة في السماء والارض الا في كتاب مبين ٧٥
وَمَا
مِنۡ
غَآئِبَةٖ
فِي
ٱلسَّمَآءِ
وَٱلۡأَرۡضِ
إِلَّا
فِي
كِتَٰبٖ
مُّبِينٍ
٧٥
Na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika Kitabu kinacho bainisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hakuna kitu chochote kilichofichika na macho ya viumbe, kilichoko mbinguni na ardhini,isipokuwa kiko kwenye Kitabu kilicho waziwazi kilichoko kwa Mwenyezi Mungu. Kitabu hiko kimevizunguka vyote vilivyokuwa na vitakavyokuwa.
Na hakuna kitu chochote kilichofichika na macho ya viumbe, kilichoko mbinguni na ardhini,isipokuwa kiko kwenye Kitabu kilicho waziwazi kilichoko kwa M…