An-Naml 27:79 فتوكل على الله انك على الحق المبين ٧٩
فَتَوَكَّلۡ
عَلَى
ٱللَّهِۖ
إِنَّكَ
عَلَى
ٱلۡحَقِّ
ٱلۡمُبِينِ
٧٩
Basi mtegemee Mweneyezi Mungu; hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Jitegemeze, ewe Mtume, katika mambo yako yote kwa Mwenyezi Mungu na uwe na imani Kwake, kwani Yeye ni Mwenye kukutosha. Hakika wewe uko kwenye njia iliyo wazi isiyokuwa na shaka.
Jitegemeze, ewe Mtume, katika mambo yako yote kwa Mwenyezi Mungu na uwe na imani Kwake, kwani Yeye ni Mwenye kukutosha. Hakika wewe uko kwenye njia il…