An-Naml 27:85 ووقع القول عليهم بما ظلموا فهم لا ينطقون ٨٥
وَوَقَعَ
ٱلۡقَوۡلُ
عَلَيۡهِم
بِمَا
ظَلَمُواْ
فَهُمۡ
لَا
يَنطِقُونَ
٨٥
Na kauli itawaangukia juu yao kwa vile walivyo dhulumu. Basi hao hawatasema lolote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo lithibiti juu yao neno la adhabu kwa sababu ya udhalimu wao na ukanushaji wao, na watakuwa hawatamki neno lenye hoja ya wao kujitetea nafsi zao ili kujiepushia adhabu kali iliyowashukia.
Hapo lithibiti juu yao neno la adhabu kwa sababu ya udhalimu wao na ukanushaji wao, na watakuwa hawatamki neno lenye hoja ya wao kujitetea nafsi zao i…