An-Naziat 79:2 والناشطات نشطا ٢
وَٱلنَّٰشِطَٰتِ
نَشۡطٗا
٢
Na kwa wanao toa kwa upole! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa Malaika ambao huzitukua roho za Waumini kwa uchangamfu na upole.
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis