An-Naziat 79:26 ان في ذالك لعبرة لمن يخشى ٢٦
إِنَّ
فِي
ذَٰلِكَ
لَعِبۡرَةٗ
لِّمَن
يَخۡشَىٰٓ
٢٦
Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa wanao ogopa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Akaifanya adhabu hiyo iwe ni mazingatio na ni onyo kwa watu mfano wake kati ya wale waasi. Hakika Firauni na kile kilichompata cha adhabu ni mawaidha kwa mwenye kuwaidhika na kutishika.
Na Akaifanya adhabu hiyo iwe ni mazingatio na ni onyo kwa watu mfano wake kati ya wale waasi. Hakika Firauni na kile kilichompata cha adhabu ni mawaid…