An-Naziat 79:30 والارض بعد ذالك دحاها ٣٠
وَٱلۡأَرۡضَ
بَعۡدَ
ذَٰلِكَ
دَحَىٰهَآ
٣٠
Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ardhi baada ya kuumba mbingu Ameitandaza. Na Ameweka humo manufaa yake.