Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
079

An-Naziat 79:45 انما انت منذر من يخشاها ٤٥

79:45
إِنَّمَآ
أَنتَ
مُنذِرُ
مَن
يَخۡشَىٰهَا
٤٥
Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Wewe linalokuhusu katika habari zake ni kumuonya nacho yule anayekiogopa.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 79, Ukurasa 584, Juzuu 30

34. Basi itakapo fika hiyo balaa kubwa, 35. Siku ambayo mtu atakumbuka aliyo yafanya, 36. Na Jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona, 37. Basi ama yule aliye zidi ujeuri, 38. Na akakhiari maisha ya dunia, 39. Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake! 40. Na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio, 41. Basi huyo, Pepo itakuwa ndiyo makaazi yake! 42. Wanakuuliza Saa (ya Kiyama) itakuwa lini? 43. Una nini wewe hata uitaje? 44. Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake. 45. Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu. 46. Ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo Saa) hawakukaa ila jioni moja tu, au mchana wake.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia