An-Nisaa 4:103 فاذا قضيتم الصلاة فاذكروا الله قياما وقعودا وعلى جنوبكم فاذا اطماننتم فاقيموا الصلاة ان الصلاة كانت على المومنين كتابا موقوتا ١٠٣
فَإِذَا
قَضَيۡتُمُ
ٱلصَّلَوٰةَ
فَٱذۡكُرُواْ
ٱللَّهَ
قِيَٰمٗا
وَقُعُودٗا
وَعَلَىٰ
جُنُوبِكُمۡۚ
فَإِذَا
ٱطۡمَأۡنَنتُمۡ
فَأَقِيمُواْ
ٱلصَّلَوٰةَۚ
إِنَّ
ٱلصَّلَوٰةَ
كَانَتۡ
عَلَى
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
كِتَٰبٗا
مَّوۡقُوتٗا
١٠٣
Mkisha sali basi mkumbukeni Mwenyezi Mungu mkisimama, na mkikaa, na mnapo jinyoosha kwa kulala. Na mtapo tulia basi shikeni Sala kama dasturi. Kwani hakika Sala kwa Waumini ni faradhi iliyo wekewa nyakati maalumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mtakapomaliza Swala, endeleeni kumtaja Mwenyezi Mungu katika hali zenu zote. Na hali ya kicho iondokapo, itekelezeni Swala kikamilifu, wala msiifanyie dharau, kwani Swala ni faradhi katika nyakati zijulikanazo katika Sheria.
Mtakapomaliza Swala, endeleeni kumtaja Mwenyezi Mungu katika hali zenu zote. Na hali ya kicho iondokapo, itekelezeni Swala kikamilifu, wala msiifanyie…