An-Nisaa 4:167 ان الذين كفروا وصدوا عن سبيل الله قد ضلوا ضلالا بعيدا ١٦٧
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
وَصَدُّواْ
عَن
سَبِيلِ
ٱللَّهِ
قَدۡ
ضَلُّواْ
ضَلَٰلَۢا
بَعِيدًا
١٦٧
Hakika walio kufuru na wakazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, wamekwisha potelea mbali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale walioupinga unabii wako na wakawazuia watu kuufuata Uislamu, wamekuwa mbali kabisa na njia ya haki.