An-Nisaa 4:28 يريد الله ان يخفف عنكم وخلق الانسان ضعيفا ٢٨
يُرِيدُ
ٱللَّهُ
أَن
يُخَفِّفَ
عَنكُمۡۚ
وَخُلِقَ
ٱلۡإِنسَٰنُ
ضَعِيفٗا
٢٨
Mwenyezi Mungu anataka kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kwa sheria Zake Alizowaekea, Anataka kuwafanyia sahali na kutowafanyia mkazo, kwa kuwa nyinyi mumeumbwa mkiwa madhaifu.