An-Nisaa 4:56 ان الذين كفروا باياتنا سوف نصليهم نارا كلما نضجت جلودهم بدلناهم جلودا غيرها ليذوقوا العذاب ان الله كان عزيزا حكيما ٥٦
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
بِـَٔايَٰتِنَا
سَوۡفَ
نُصۡلِيهِمۡ
نَارٗا
كُلَّمَا
نَضِجَتۡ
جُلُودُهُم
بَدَّلۡنَٰهُمۡ
جُلُودًا
غَيۡرَهَا
لِيَذُوقُواْ
ٱلۡعَذَابَۗ
إِنَّ
ٱللَّهَ
كَانَ
عَزِيزًا
حَكِيمٗا
٥٦
Hakika wale walio zikataa Ishara zetu tutawaingiza Motoni. Kila zitapo wiva ngozi zao tutawabadilishia ngozi nyengine ili waionje hiyo adhabu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale waliokanusha aya za Mwenyezi Mungu alizoziteremsha, wahyi wa kitabu Chake, dalili na hoja Zake, tutawaingiza kwenye Moto ambao watalionja joto lake; kila zikiungua ngozi zao tunawageuzia ngozi nyengine, ili adhabu yao na uchungu vipate kuendelea. Mwenyezi Mungu Aliyetukuka ni Mshindi, ha…
Hakika wale waliokanusha aya za Mwenyezi Mungu alizoziteremsha, wahyi wa kitabu Chake, dalili na hoja Zake, tutawaingiza kwenye Moto ambao watalionja …