An-Nur 24:18 ويبين الله لكم الايات والله عليم حكيم ١٨
وَيُبَيِّنُ
ٱللَّهُ
لَكُمُ
ٱلۡأٓيَٰتِۚ
وَٱللَّهُ
عَلِيمٌ
حَكِيمٌ
١٨
Na Mwenyezi Mungu anakubainisheni Aya. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Anawafafanulia nyinyi aya zinazokusanya hukumu za kisheria na mawaidha. Na Mwenyezi Mungu Anayajua sana matendo yenu, ni Mwenye hekima katika sheria Zake na uendeshaji Wake.
Na Anawafafanulia nyinyi aya zinazokusanya hukumu za kisheria na mawaidha. Na Mwenyezi Mungu Anayajua sana matendo yenu, ni Mwenye hekima katika sher…