An-Nur 24:49 وان يكن لهم الحق ياتوا اليه مذعنين ٤٩
وَإِن
يَكُن
لَّهُمُ
ٱلۡحَقُّ
يَأۡتُوٓاْ
إِلَيۡهِ
مُذۡعِنِينَ
٤٩
Na ikiwa haki ni yao, wanamjia kwa kut'ii. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na iwapo haki iko upande wao, basi wao wanakuja kwa Nabii, rehema na amani zimshukie, wakiwa watiifu na kuwa tayari kuiandama hukumu yake, kwa kutambua kwao kwamba yeye atatoa uamuzi wa haki.
Na iwapo haki iko upande wao, basi wao wanakuja kwa Nabii, rehema na amani zimshukie, wakiwa watiifu na kuwa tayari kuiandama hukumu yake, kwa kutambu…