An-Nur 24:7 والخامسة ان لعنت الله عليه ان كان من الكاذبين ٧
وَٱلۡخَٰمِسَةُ
أَنَّ
لَعۡنَتَ
ٱللَّهِ
عَلَيۡهِ
إِن
كَانَ
مِنَ
ٱلۡكَٰذِبِينَ
٧
Na mara ya tano kwamba laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake ikiwa ni miongoni mwa waongo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na aongeze kwenye ushahidi wa tano kujiapiza nafsi yake kuwa inastahili kupata laana ya Mwenyezi Mungu iwapo yeye ni mrongo katika maneno yake hayo.