Ar-Raad 13:20 الذين يوفون بعهد الله ولا ينقضون الميثاق ٢٠
ٱلَّذِينَ
يُوفُونَ
بِعَهۡدِ
ٱللَّهِ
وَلَا
يَنقُضُونَ
ٱلۡمِيثَٰقَ
٢٠
Wale ambao wanatimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu, wala hawavunji maagano. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
ambao wanatekeleza ahadi ya Mwenyezi Mungu Ambayo Aliwaamrisha kwayo na wasiitangue ahadi ya mkazo ambayo walimuahidi nayo Mwenyezi Mungu.