Ar-Rahman 55:20 بينهما برزخ لا يبغيان ٢٠
بَيۡنَهُمَا
بَرۡزَخٞ
لَّا
يَبۡغِيَانِ
٢٠
Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
mojawapo haiingii sehemu ya nyingine na kuiondoa sifa yake, bali ya tamu inasalia kuwa tamu na ya chumvi inasalia kuwa chumvi pamoja na kukutana kwake.
mojawapo haiingii sehemu ya nyingine na kuiondoa sifa yake, bali ya tamu inasalia kuwa tamu na ya chumvi inasalia kuwa chumvi pamoja na kukutana kwake…