Ar-Rahman 55:24 وله الجوار المنشات في البحر كالاعلام ٢٤
وَلَهُ
ٱلۡجَوَارِ
ٱلۡمُنشَـَٔاتُ
فِي
ٱلۡبَحۡرِ
كَٱلۡأَعۡلَٰمِ
٢٤
Na ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ni Yake Yeye, Aliyetakasika na kutukuka, mamlaka ya kuyaendesha majahazi makubwa yanayotembea baharini kwa manufaa ya watu, yenye kusimamisha juu milongoti yake na matanga yake kama vile majabali.
Ni Yake Yeye, Aliyetakasika na kutukuka, mamlaka ya kuyaendesha majahazi makubwa yanayotembea baharini kwa manufaa ya watu, yenye kusimamisha juu milo…